Aliyekuwa beki wa Yanga SC, Hassan Kessy hii leo ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya Nkana Red Devils inayoshiriki ligi kuu ya Zambia.
Mapema
juzi Kessy alisaini kandarasi ya miaka miwili kama mchezaji huru baada
ya kushindwa kufikia makubaliano na mabingwa wakihistoria klabu ya
Yanga.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment