
Watangazaji kutoka Clouds, Mbwiga Mbwiguke, Ziza Mona na Mkazuzu, wamefanyia maajabu wimbo wa mwana dada Maua Sama baada ya kufanyia cover kwa lugha ya Kisukuma. Wimbo wa Iokote ndiyo wimbo unaofanya poa sana kwa wakati huu kwa kuufanya kuwa kama ndiyo wimbo wa Taifa. Tazama hapa chini Video
0 MAONI YAKO:
Post a Comment