Mwanamuziki na Mtangazaji Maarufu kutoka mkoani Morogoro MC Calvin Maarufu Zombie President, ameachia wimbo wake mpya kabisa uitwao R I P Ngwair. Wimbo wa R I P Ngwair ni wimbo unaoonesha mapenzi ya wazi kabisa kutoka kwa msanii huyo kumuhusu Mangwea ambaye amefariki takriban mika 6 sasa imepita. Hakika pengo la Ngwair halitazibika. R I P Ngwair
Pirates Legacy kasino mtandaoni na Jackpot kubwa
-
Ni siku nyingine tena njema na bora Zaidi ya kukufungulia dunia ya
michongo, Leo nakupata...
The post Pirates Legacy kasino mtandaoni na Jackpot kubwa fi...
1 hour ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment