Jimmy Flavour ni mmoja ya wasanii toka mkoani Morogoro. amefanya nyimbo kadhaa na zikafanya powa sana ndani ya Morogoro. nyimbo kama Zohari,usingoje nikifa, na kushirikishwa nyimbo kadhaa na msanii Agatha Mbale. Lakini kwa sasa ukizungumzia Hit song ndani ya Mkoa wa Morogoro, hutosita kuutaja wimbo unaitwa Watabamba. Huu wimbo umebamba kweli kwa Morogoro hasa kwenye Vigodoro, na Radio mbalimbali. Respect Kwako Jimmy , ngoma kali inabamba.
BAJAJI NA BODA BODA-DODOMA WADHIHIRISHA WAKO TAYARI KUSHIRIKI UCHAGUZI
-
Na Meleka Kulwa, Dodoma
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtumba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Anthony Mavunde, ameahidi kuimarisha sekta ya usafirishaj...
1 hour ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment