
Meneja wa Bia ya Serengeti ambao
ndio wadhamini wakuu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,Allan Chonjo
akisalimiana na Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani Rick
Ross mara baada ya kuwasili usiku wa kuamkia leo.

Rick Ross akitoa salamu ya salut kwa washabiki wake waliojitokeza usiku wa jana (hawapo pichani) kumlaki

Operesheni Meneja wa Prime Time
Promotions,Balozi Kindamba akiwaongoza wageni wake kuelekea kwenye gari
tayari kuondoka kuolekea kwenye hoteli waliopangiwa kufikia usiku wa jana,Shoto ni Rick Ross na akiwa na baadhi wanamuziki wenzake aliombatana
nao.

Rick Ross akiingia ndani ya mchuma

Rick Ross akiondoka na mchuma wake kuelekea hotelini .

Mmoja wa mashabiki wa Rick Ross
aliyezua tafrani kiaina akijifananisha na Rick Ross akizungumza na na
baadhi ya watu waliojitokeza kumlaki The Big Boss mwenye Rick Ross.


Millard Ayo akiwa na Official Dj wa Rick Ross.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment