
Hatimaye mshindi wa pili wa BBA Stargame, rapper Prezzo hivi karibuni alikutana na Jay-Z jijini New York.
Kukutana kwao kulikuwa ni sehemu ya ubalozi wake katika kampeni ya One
aliyoteuliwa kama mshindi wa pili wa shindano la Big Brother.
Baada ya concert hiyo Prezzo alipata fursa ya kupiga picha na rapper huyo.
Show hiyo ilifanyika Barclays Centre mjini Brooklyn, New York.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment