Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Bongo freva lady jay dee ambaye ndiye mmiliki wa bendi ya Machozi ya jijini Dar ess Salaam, amewaomba wadau wake kutoa hukumu juu ya kurudishwa aliyekuwa mwimbaji wa kundi hilo Mwinyi wa machozi
.

Mwinyi wa machozi
Myinyi awali alijitoa kwa madai ya ubabaishaji mkubwa unaoendelea ndani ya bendi hiyo
Akiandika katika page yake Jide amesema
"Nadhani wote mnamkumbuka Mwinyigoha, aliekuwa MACHOZI BAND kitambo. Baada ya yote yaliotokea na mlioyasikia anataka kurudishwa kundini, Naomba mvae kiatu changu..., Je ingekuwa wewe ni JIDE ungemsamehe na kumrudisha tena kazini?? Jiweke kwenye nafasi yangu unipe jibu..Tiririkaaaa''

Machozi band kazini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment