
Juliua Mtatiro naibu katibu mkuu CUF
Usiku wa kuamkia leo kundi lenye harakati halisi za Hip hop kikosi cha mizinga liliazimisha miaka 13 tangu kuanzishwa mwaka 2000 pale block 41.

Kala Pina jukwaani
Katika Historia ya aina yake mgeni rasmi alikuwa ni naibu katibu mkuu CUF Tanzania Bara Mh: Julius Mtatiro na ndiye aliyesoma Historia ya kundi hilo.
Pia wasanii mbalimbali walikuwepo ni pamoja na Mfalme Sele ambaye alihusika sana tangu mwanzo. Wengine ni Chid Benz, Gangwe Mob,B D P, Mark 2 B simba na wengine kibao

Mfalme Sele akiimba kwa hisia kali

Chid Benzi Chuma akipagawisha

Mansu lii

Kikosi na wageni waalikwa wakigawa vyeti vya shukrani

Mark 2 B Simba


Burudani mwanzo mwisho mashabiki wapandwa na midadi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment