June 22, 2013


 Huu ni wimbo wangu Mpya ambao umefungua sura mpya ya kunzisha safari yangu
ya muziki wa kimataifa..Naweza Sema ni wimbo uliozaaa mafanikio ya
kuanzishwa familia ya Rap baina ya mcz toka nchi tofauti hapa
africa.inayoitwa Rap Diocese ambayo waasisi wake ndio hawa waliomo katika
wimbo huu.Familia inaitwa Rap diocese na Imeundwa na marapa toka Tz, kenya
, uganda , Ghana , na Angola.
Wimbo huu Nimemshirikisha Burney Mc  toka Uganda na Willy fololo toka Kenya
Na Ikipikwa katika Studio za DE FATALITY MUSIC Chini ya Mesen Selekta na
Masebo

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE