
Msanii
machachari wa muziki wa bongofleva/filamu Shilole akiimba huku akiwa
amebebwa na shabiki wake,huku shangwe na miluzi za mashabiki zikiwa
zimetawala kila kona.

Baadhi
ya mashabiki waliojitokeza kucheza jukwaani,wakionesha umahiri wao wa
kukata nyonga mbele ya umati wa wakazi wa mji wa Tabora na vitongoji
vyake,waliojitokeza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya
uwanja wa Al-Hassan Mwinyi

Raisi wa Manzese,kutoka kundi la Tip Top Connections,atambulikae kwa
jina la Madee akiwaimbisha mashabiki wake wimbo wake wa NANI KAMWAGA POMBE
YANGU


Mkali wa Hip Hop TanzaniaStamina akikamua jukwaani vilivyo mbele ya
umati wa wakazi wa mji wa Tabora na vitongoji vyake waliojitokeza
kushuhudia makamuzi ya wasanii mbalimbali wa tamasha la Serengeti Fiesta
2013.

bdul
Kiba,msanii wa muziki wa bongofleva akiimba mbele ya umati mkubwa wa
wakazi wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha
la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan
Mwinyi mkoani humu.Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni
bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa
kushirikiana na Clouds FM,na kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti
kupitia kinywaji chake murua kabisa cha Serengeti Premium Lager.

Sehemu
ya umati wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi kwenye
tamasha la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa
Al-Hassan Mwinyi

Msanii
wa muziki wa kizazi kipya zao la Fiesta Supa Nyota 2012,Neyleeakifanya yake

.

Wakzi wa Tabora walifurika mbaya


wanamuita Baba Levo

Ni shwangwe tu kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani Tabora.

Makomanda wakionesha
umahiri wao wa kucheza jukwaani kwenye tamasha la Serengeti
Fiesta 2013.

Wanamuita
Mzee wa Masauti,Christian Bella akiwaimbisha mashabiki wake wa muziki
wa dansi

Msanii
wa muziki wa bongofleva,Rachael akicheza jukwaani na mmoja wa madensa
wake,huku mashabiki wake wakipiga mayowe ya shangwa kuonesha kukunwa
vilivyo na msanii huyo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment