November 18, 2013

 

 So Diamond Platnumz jana alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhuria harusi ya kimila ya Peter Okoye wa kundi la P-Square na mchumba wake, Lola Omotayo iliyofanyika jijini Lagos, Nigeria
 Kwenye harusi hiyo, Diamond alipata nafasi ya si tu kushuhudia Peter na Lola wakisema ‘Yes I do’ bali pia aliweza kuchill na cream ya mastaa wa Afrika wakiwemo Iyanya na mchezaji wa timu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Togo, Emmanuel Adebayor.

Alipata pia fursa ya kuwaonesha Adebayor na Iyanya style yake ya kucheza ya Ngololo

Hata hivyo, kitu kimoja hakikwenda sawa. Ni nguo aliyokuwa ameivaa, ambayo iligeuka gumzo kwa mashabiki wengi wa muziki nchini Nigeria waliosema kachemka.

Issue ilikuwa hivi, Iyanya alipost picha akiwa na Diamond pamoja na jamaa mwingine na kuandika: With @ubifranklintriplemg @diamondplatnumz after @peterpsquare trad.”

Polisi jamii wa masuala ya mitindo, wakamweka kitimoto:
 Zaidi ingia ha kandilihuru.blogspot.com

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE