Kama
bado hujajiunga na familia ya Clouds Tv huu ni muda muafaka kwako kwani
mambo mazuri mengi yapo njiani yanakuja kwa ajili yako ,ujio huu hauko mbali,hii ni show mpya ambayo itakua ina mpangilio
wa habari zote muhimu za siku.
Taarifa kamili juu ya Clouds 360,itakua lini,muda gani na vitu vyote
vitakavyoihusu endelea kufatilia Clouds Tv ‘The people’s Station’
0 MAONI YAKO:
Post a Comment