Huu ni mfereji wa maji machafu ambao unaingiza maji haya katika mto Morogoro kutoka katika mkusanyiko wa Mifereji ya maji machafu. Maji ya mto Morogoro hutumuwa na wakulima wa mboga za majani huko bondeni, pia kuna watu wanatumia kwa matumizi ya nyumbani. Je unasemaje kuhusiana na walaji na watumiaji wa maji huko bondeni?? Mfereji huu upo katika daraja la shani katikati ya mji
WATAALAM WAONYA HATARI YA MASALIA YA DAWA KWENYE MAZIWA, WADAU WAPEWA
MAFUNZO MBEYA
-
Wataalam wa Tasnia ya Maziwa nchini wameonya juu ya matumizi holela ya dawa
kwa mifugo ambayo husababisha uwepo wa masalia ya dawa katika maziwa, hali
in...
34 minutes ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment