June 30, 2014

 
Mwimbaji wa bendi ya Njenje Dar es Salaam 
 
 Mwimbaji nyota wa bendi maarufu ya Njenje ya jijini Dar es Salaam, Nyota Ali Waziri yupo katika mchakato wa kurekodi na baadhi ya wasanii wa muziki nchini.
Nyota Waziri anayetamba na wimbo maarufu wa 'TULIZANA MPENZI TUPENDANE', anatarajia kushirikishwa kati moja ya wimbo ndani ya albamu mpya ya msanii wa kike Deborah Nyangi ambaye ni mwimbaji wa bendi ya Kalunde jijini Dar es Salaam.
Nyota Waziri amekwisha fanya mazungumzo tayari na dashosti huyo katika kibao kipya kinachofanyiwa kazi chini ya Prodyuza C9, wimbo ambao utahusu maswala ya kuelimisha jamii unatarajiwa kukamilika hivi karibuni.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE