July 01, 2014


Uharibifu uliotokea baada ya shambulizi
Takriban watu 18 wameripotiwa kuuawa katika mlipuko uliotokea sokoni mjini Maiduguri Kaskazini mwa Nigeria.
Watu walioshuhudia tukio hilo wameiambia BBC kuwa gari lililokuwa limebeba mkaa lilipuliwa na bomu linalodhaniwa liliwekwa ndani ya gari hilo.
Hadi sasa hakuna kundi lolote la kigaidi lililokiri kufanya shambulio hilo.
Tukio hili linakuja huku ripoti ya hivi karibuni ya jeshi la Nigeria ikisema kuwa limeshambulia moja ya ngome za kundi la wapiganaji la Boko Haram.
Boko Haram wamekuwa wakifanya mashambilizi ya mara kwa mara licha ya operesheni ya kijeshi dhidi ya wapiganaji hao
Mwandishi wa BBC Habiba Adamu toka mji mkuu wa Nigeria Abuja aliyetembeela eneo hilo anasema kuna utata wa idadi ya waliouawa katika shambulio hilo kwani wakati wengine wakisema waliouawa ni watano wengine wanasema huenda idadi ya waliouawa ikawa ni zaidi ya

Related Posts:

  • IRAN YALAANI MAUAJI YA WANACHAMA WA HIZBULLH   Mohammad Javad Zarif Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali mauaji ya wanachama sita wa Harakati ya Mapambano ya Lebanon Hizbullah yaliyofanywa na utawala haramu… Read More
  • WANAFUNZI WAPINGA UNYAKUZI WA ARDHI    Polisi nchinikenya katiika mji mkuu Nairobi leo imewafyetulia gesi ya kutoa machozi wanafunzi wa shule ya msingi waliokuwa wakiandamana kupinga unyakuzi wa ardhi waliyokuwa wanatumia kama kiwanja cha kuchez… Read More
  • VIKOSI VYA YEMEN KIHOUTH MJINI SANA'A    Wanamapinduzi wa Kishia wa Ansarullah wa nchini Yemen wamepigana na vikosi vya serikali huko Sana'a mji mkuu wa nchi hiyo. Watu walioshuhudia wamesema kuwa, sauti za risasi na milipuko kadhaa zimesikika huko… Read More
  • New Vide: K-Cee -Turn By Turn      Moja ya wanamuziki wanaofanya poa sana nchini Nigeria na Africa kwa jumla ni huyu jamaa anaitwa K-cee. hapa nakupa firsa ya kuitazama video yake mpya kabisa        &… Read More
  • ULAYA WAWAPIGIA MAGOTI WAARABU MAPAMBANO YA UGAIDI Mawaziri wa nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Brussels kukiwa na wito ushirikiano wa karibu zaidi kati ya Ulaya na ulimwengu wa Kiarabu katika kukabiliana na makundi ya itikadi kali. Mkuu wa Sera za Nje wa Umoj… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE