Mshiriki wa Tusker Project Fame HISIA anakuja na kibao chake kipya GIMME
A CALL ambacho amemshirikisha producer John Blass kutoka Grand Master
Records. Hisia mwenye kipaji cha vocals ameonesha uwezo wake mkubwa
katika hii track iliyopo katika miondoko ya Afro Soul. Wimbo
ulitambulishwa rasmi katika concert iliyoandaliwa viwanja vya Alliance
Francaise akisindikizwa na Grace Matata pamoja na kundi la H_art the
Band kutoka nchini Kenya.
Vocals: Hisia
Drums: Nelson Martin Mugarula
Bass guitar: Kelvin Samuel
Guitars: Goodlucks Sway, Mzee Francis, Hisia
Keys: John Blass
Written by: Hisia
Music consultant: BR Marungi
Instruments recorded at Fnouk Music Studios
Co-arranged by Kelvin Samuel
Produced by: John Blass - Grand Master Records
0 MAONI YAKO:
Post a Comment