November 03, 2014


Msanii wa Hip Hop WAKAZI ambaye kwa muda mrefu amekuwa akiishi nchini Marekani huku akifanya muziki anakuletea single yake mpya iitwayo WANAWAKE WA DAR. Wakazi anasifa ya kuitwa "Bilingual Beast" kwakuwa anauwezo wake mkubwa wa kuchanganya lugha ya Kiswahili na Kiingereza katika mashairi yake. Mpaka sasa Wakazi ameshaachia Mixtape 3 na yuko mbioni kuachia album.

Sikiliza wimbo uliyokuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa hapa

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE