Mwenyekiti wa bodi na kaimu mkurugenzi wa TPDC
wamekamatwa na Jeshi la polisi kwa maelekezo ya kamati ya kudumu ya
Bunge ya hesabu za serikali na Mashirika ya umma kwa kushindwa
kutekeleza
maagizo ya Kamati hiyo, kwa kufahamu hili zaidi na mengine mengi fuatilia habari zetu kwa kila Hatua.
Chanzo:RadioOneStereo
maagizo ya Kamati hiyo, kwa kufahamu hili zaidi na mengine mengi fuatilia habari zetu kwa kila Hatua.
Chanzo:RadioOneStereo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment