Kiba
a.k.a Fundi ameiambia eNewz kuwa amefurahi kuona mashabiki wamempokea
tena vizuri na kumpa nguvu ya kuendelea kuwatengenezea kazi zenye
viwango vya kimataifa.
Kuhusiana na kiu ya mashabiki wengi kujua Kiba mwaka huu ana uanzaje, na vilevile kuhusiana na kolabo za kimataifa, Kiba amesema mipango imeshasukwa, akiwa amejipanga kutoa kazi kwa mtindo wa Bumper 2 Bumper, mpango utakaoanza mwezi huu wa Januari.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment