February 11, 2015

 
  Zile picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo,Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Edson ambaye baada ya kuziona aliamua kumchukua mtoto wake na kuondoka nyumbani kwa msanii huyo maeneo ya Kimara,jijini Dar.
  
Siwema akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa alipata mshtuko mkubwa sana baada ya kuziona picha hizo ambapo aliamua kuondoka nyumbani na mtoto wake mdogo.

 
‘’Kiukweli zile picha zilinishtua sana nilimuuliza Nay akaniambia ni video lakini sikumuelewa tuligombana na mimi nikaamua niondoke nyumbani kwani nimeona kama kanidhalilisha,’alisema Siwema. Hata hivyo Nay akijitetea alisema kuwa zile picha zilivujishwa na mtu ambaye huwa ana post account yake ya Instagram na kwamba ni picha za video yake ya ngoma yake mpya ambayo ataiachia hivi karibuni iitwayo ‘Only You’.

Related Posts:

  • Watu 20 wauawa hotelini              Magari yaliyokuwa yameegeshwa nje ya hoteli hizo yaliharibiwa vibaya Waziri wa usalama wa ndani nchini Somalia amesema watu 20 walifariki baada y… Read More
  • Uchaguzi Zanzibar,i ZEC wataja Tarehe Tume ya Uchaguzi ya zanzibar ZEC imetangaza tarehe rasmi ya kurudiwa kwa uchaguzi  mkuu visiwani humo kuwa ni  2o March 2016 Taarifa hiyo imetolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar imeb… Read More
  • Darassa amekuletea hii mpya Mkali wa Hip Hop toka Tanzania Darassa, amekuja tena na wimbo wake huu mpya unaitwa kama Utanipenda. Darassa katika wimbo wake huu mpya amekuja na mwanamuziki mkali katikam anga ya bongo fleva bwana Rich Mavoco … Read More
  • Anti Sadaka awafunda wanawake           Mwanasaikolojia Anti Sadaka akitoa Mada kwenye Mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa Mkoa wa Mwanza yanayoendesha na  Taasisi ya Manjano foundation yanaoen… Read More
  • Tumekuwekea hapa magazeti ya leo Ijumaa January 22, 2016 Leo Ijumaa January 22, 2016 tunakuletea habari katika magazeti yetu kama yalivyo tufikia. Share na mwenzio … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE