MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Barnaba Elias ‘Barnaba Classic’, amesema atatumia muda wa miezi mitatu kundaa albamu yake mpya. Akizungumza jijini hivi karibuni, Barnaba alisema matarajio yake ni kuingiza sokoni albamu hiyo kabla ya kumalizika kwa mwaka huu. “Unajua tangu nilipoachia ile albamu ya kwanza imepita miaka miwili, nadhani ni muda mwafaka wa kuandaa kitu kingine kwa mashabiki zangu,” alisema Barnaba. Barnaba alisema shuguli ya kuandaa albamu hiyo ilianza juzi, ambapo atakuwa anatumia muda mwingi kukaa studio kuandika mistari na kurekodi.
TANZANIA NA UTURUKI ZAWEKA LENGO KUBWA LA KIBIASHARA
-
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo,na Kaimu Balozi wa
Uturuki nchini Tanzania, Bw. Ali Goktug IPEK,wakibadilishana Mkataba mara
baada ya ku...
4 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment