
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
na Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania bado wanaendelea kufika nyumbani kwa marehemu
Kapteni John Komba kwa ajili ya kutoa salaam za rambi rambi.
Ratiba ya awali iliyotolewa na familia wamesema mwili wa Marehemu
Kapteni Komba utafika saa 10 kwa ajili ya sala kisha mwili utalala hapa
nyumbani kwake kwa siku ya mwisho kisha kesho March 02 utaelekea
Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kisha utasafirishwa
kuelekea Songea kwa mazishi.
Tazama zad TAZAMA ZAIDI HAPA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment