May 21, 2015

 
Nyota wa Liverpool Raheem Sterling ametetewa kwa kuwa na hamu kujiunga na vilabu vikubwa.
Mshambuliaji huyo wa Liverpool huenda asilaumiwe kwa kuonyesha hamu ya kung'aa zaidi na kutaka kushinda vikombe.
Hii ni kwa mujibu wa mshambuliaji wa zamani wa Blackburn,Chris Sutton.
  
Sterling mwenye umri wa miaka 20, anatarajia kumwambia meneja wa Liverpool Brendan Rodgers na mkurugenzi wa club hiyo Ian Ayre kuwa anataka kuihama Liverpool.
Tangu alipoanza kuonyesha nia yake yeye na wakala wake waliandamwa na kupingwa na wacheazaji wa zamani wa Liverpool.
"Sidhani kwamba uamuzi wake unahusu fedha" alisema Sutton
''Nahisi Sterling "anachotaka tu ni kujiunga na timu kubwa".
Sutton aliihama Blackburn na kujiunga na Chelsea kwa pauni milioni 10 mwaka 1999.
"Je tunaweza kumlaumu Sterling kuwa na hamu ya kushinda vikombe?''aliuliza Sutton
"Liverpool ilishiriki mchuano wa ligi ya mabingwa mara moja tu katika kipindi cha miaka sita na kushinda kombe moja tu katika kipindi cha miaka tisa iliyopita."

Related Posts:

  • PROFILE/ RAY J Ray J William Ray Norwood Jr (amezaliwa 17 Januari 1981), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Ray J, ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji rekodi na muigizaji. William Ray Norwo… Read More
  • MASHABIKI SIMBA WACHOMA JEZI YA COUTINHO CHUO KIKUU DAR Hii ni hatari, utani wa miaka nenda rudi kati ya timu kongwe nchini, Simba na Yanga, umeonekana kugeuka chuki na ukatili, kufuatia kitendo cha mashabiki wa Simba kumvamia shabiki mmoja aliyesadik… Read More
  • ABOOD MEDIA KUFUTURISHA FUNGA FUNGA     Kituo cha habari cha Abood Media cha mjini Morogoro, kinatarajia kupata futuru ya pamoja na wazee waishio katika kmbi maalum ya kulele wazee wasiojiweza ya funga funga. Akitupa taarifa mmoja ya wanyetishaji… Read More
  • SHAKIRA AFURAHIA KUVUNJA RECORD FACEBOOK   Shakira amekuwa mtu wa kwanza duniani kwenye mtandao wa Facebook kupata Likes milioni 100 katika ukurasa wake. Nyota huyo wa muziki kutoka nchini Columbia amevunja rekodi hiyo siku nne tu baada ya kufanya onyesho… Read More
  • DAVIDA AZUNGUMZIA BET 2014 JUU YA UPINZANI ULIOTOKEA.   DAVIDO   BET Awards 2014 “Best International Act” winner, Davido could not contain his excitement as BET hosted him and Best International Act 2013 winner/2014 BET Experience performer Ice Prince to a lig… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE