August 30, 2015

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira (kushoto), akihutubia katika uzinduzi wa kampeni ya chama hizo uliofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es Salaam .

 Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto akihutubia katika uzinduzi huo.

 Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo, Profesa Kitila Mkumbo akihutubia kwenye uzinduzi huo.

 Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto (kushoto), akiteta jambo na  Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira.

 Viongozi mbalimbali wa chama hicho wakiimba wimbo wa taifa.

 Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto, akiwatambulisha wagombea ubunge wa majimbo yote ya Dar es Salaam.

  Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto, akigawa ilani ya chama hicho kwa mgombea urais na mwenza wake.

 Mgombea Mwenza, Hamad Mussa Yusuph akihutubia kwenye uzinduzi huo.

 Mwana muziki Bwana misosi, akitoa burudani katika uzinduzi wa kampeni wa Chama cha ACT-Wazalendo uliofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala Dar es Salaam leo.

Umati wa Wananchi ukiwa katika uzinduzi wa kampeni wa Chama cha ACT-Wazalendo uliofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala Dar es Salaam jana.

(Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com

Related Posts:

  • ABIRIA 60 WANUSURIKA KUZAMA ZIWA TANGANYIKA Ziwa Tanganyika. Abiria 60 kutoka Burundi na Jamhuri  ya Kidemokrasi  Ya Congo – DRC walionusurika katika ajali ya kuzama kwa boti katika ziwa Tanganyika wamewashukuru watanzania kwa kuwaokoa na ku… Read More
  • RONALDO DE LIMA KUREJEA DIMBANI Ronaldo de Lima anavyoonekana sasa. Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya brazil Ronaldo Luís Nazário de Lima anatarajia kurejea tena dimbani. De lima ameahidi kupunguza… Read More
  • JHIKOMANMAN AMFUATA PEETAH MORGAN NA KUFANYA HII NGOMA Kumekuwa na idadi kubwa ya Watanzania ambao wanafanya shughuli zao mbalimbali nje ya Tanzania na nje ya Afrika, wachache ambao huwa tunapata nafasi ya kuona matunda ya kazi nzuri walizozifanya huko. Jhikoman n… Read More
  • NEW VIDEO: KIBOKO YANGU- MWANA FA ft ALLY KIBA Hii ni video mpya ya mkali Hamisi Corleone Mwinjuma aka Mwana FA ya Kiboko yangu ni moja kati ya ambazo zimekuwa zikisubiriwa kwa hamu na watu wengi. Video imetayarishwa na Director Kelvin Bosco wa … Read More
  • PAPA AWASILI UFILIPINO Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani,Mtakatifu Francis, amewasili nchini Ufilipino, nchi yenye Wakatoliki wengi zaidi barani Asia, huku ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa. Maelfu ya Wafilipino wamejipanga katika misur… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE