Mh. Lema adai kubaguliwa msibani Arusha
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amedai kubaguliwa wakati wa
kuuaga miili ya wanafunzi wa shule ya Lucky Vincent waliofariki kwa
ajali. Lema amedai yeye kama Mbunge wa Arusha Mjini, alistahili kupewa
nafasi ya…Read More
Miili ya wanafunzi,waalimu, na dereva kuagwa leo Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Arusha ambapo
leo ataongoza wananchi wa mkoa wa Arusha na mikoa ya jirani katika
kuaga miili ya wanafunzi 32,walimu Wawili p…Read More
Professor J apaza sauti kuhusu kilio cha wasanii
Msanii wa muziki wa hip hop ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi,
Joseph Haule ‘Professor Jay’ amefunguka na kusema kuwa wasanii wengi wa
Tanzania wamekatishwa tamaa ya kuendelea kufanya kazi za sanaa kwa
kuko…Read More
Rambirambi:Shule ya Lucky Vicent Arusha
Ndugu watanzania, ukurasa huu ni maalumu kwaajili makusanyo ya
rambirambi ya msiba wa wanafunzi (32), walimu (2) na dereva (1) katika
ajali iliyotokea Jijini Arusha, katika msafara wa shule yetu ya Lucky
Vincent…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment