
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili makao makuu ya Benki
Kuu ya Tanzania alikofanya ziara ya kushtukiza leo Machi 10, 2016.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na uongozi wa
juu wa Benki Kuu ya Tanzania ambao ameupa maelekezo mbalimbali katika
kuboresha utendaji wao wa kazi wakila siku.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua CV za wafanyakazi
wa Benki Kuu ya Tanzania wakati wa ziara yake ya kushtukiza jijini Dar
es Salaam. Kulia kwake ni Gavana wa Benki Kuu Beno Ndulu.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment