Wasanii Wawili Wakali kutoka Nchini Uganda Cindy na Bebe Cool wameingia Studio Kupika Kazi yao ya Pamoja.
Wawili hao wamepost Picha Hizi hapa kwenye Mitandao ya
Kijamii huku wakionekana wako Studio kupika Kazi Mpya na kila mmoja
anaonekana anaandika


Juzi the African Gal singer, Cindy ametambulisha Video ya Wimbo wake Mpya uitwao Still Standing huku Bebe Cool Video yake Mpya iitwayo African Gal imetambulishwa kupitia MTV Base ijumaa Iliyopita.
Cindy ngoma zake Nyingi huwa anaandika Mwenyewe ila Bebe Cool wimbo wake Mpya African Gal uliandikwa na A-Pass ambaye ni mwimbaji pia wa Uganda na A-Pass pia ndiye aliyeandika wimbo wa Bebe Cool Love you everyday ambao ulikuwa bonge la hit.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment