Kiongozi
wa mbio za Mwenge Kitaifa kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka
mkoa wa Mbeya akifunua pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la jengo la
biashara na Ofisi la 2D la mjini Morogoro lililojengwa kwa thamani ya
Shilingi bilioni 4.3. Jengo hilo ni la ghorofa nne likiwa na eneo la
chijni kwa ajili ya maegesho ya magari . Ni mradi wa kwanza kuzinduliwa
na Mwenge wa Uhuru kwa mwaka huu mara tuu baada ya kuwashwa na Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan.
Mkurugenzi
wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi ambaye
alimuwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa akiupokea kwenge
mbele ya Kiongozi wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2016 George Jackson
Mbijima kutoka mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kukimbiza mwenge huo katika
Mikoa na wilaya zote za Tanzania.
Meneja
wa Shirika la Taifa, Veneranda Seif akiupokea kwenge mbele ya Kiongozi
wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka mkoa wa
Mbeya kwa ajili ya kukimbiza mwenge huo katika Mikoa na wilaya zote za
Tanzania.
Meneja
wa Shirika la Taifa, Veneranda Seif akisoma taarifa ya utekelezaji wa
mradi huo mbele ya Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2016
George Jackson Mbijima kutoka mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kukimbiza
mwenge huo katika Mikoa na wilaya zote za Tanzania.
Jengo
la Biashara la 2D linavyoonekana leo kabla ya kuzinduliwa na kiongozi
wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka
mkoa wa Mbeya.
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa akijiandaa kuupokea Mwenge wa Uhuru.
Wananchi waliofika kushuhudia tukio hilo wakijiandaa kuupokea Mwenge wa Uhuru.
Mwenge wa Uhuru ukiwasili katika eneo la tukio.
Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akiupokea Mwenge wa Uhuru ulipowasili katika eneo mradi wa 2D.
Kiongozi
wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka mkoa wa
Mbeya akizungumza baada ya kuzindua jengo hilo ambapo alilipongeza
Shirika hilo kwa kazi kubwa wanayofanya kuhakikisha wanawapatia wananchi
makazi bora na akalitaka Shirika kuendeleza jitihada hizo ili
Watanzania wengi zsaidi wafaidike.
Kiongozi wa mbio za Mwenge kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka
mkoa wa Mbeya akizungumza baada ya kuzindua jengo hilo ambapo
alilipongeza Shirika hilo kwa kazi kubwa wanayofanya kuhakikisha
wanawapatia wananchi makazi bora na akalitaka Shirika kuendeleza
jitihada hizo ili Watanzania wengi zaidi wafaidike.
Wafanyakazi wa Ashirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Morogoro wakiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment