Mpya kabisa Morogoro, haijawahi kutokea, ni bora na ya kisasa, kwa wale wadau wa Move mpya na zazamani mkoani Morogoro, sasa suluhisho limepatikana. F8 MOVE SHOP wamefungua duka lao la kuuza move mpya na zazamani kwa Bei poa kabisa ya Tsh:2000/ kwa nakala moja Original. Pia wanakupa Ofa unaponunua nakala kuanzia tano
Unangoja nini sasa, usichelewe, wapo Boma Road mkabala na Bank ya KCB
Unaweza kuwasiliana nao kwa +255715 813300
Duka lipo maeneo gani?
ReplyDelete