April 20, 2016


RAYC
Mkongwe kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’.
 Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye ni mkongwe kwenye Muziki wa Bongo Fleva, amenusurika kupigwa risasi usiku wa manane kwenye nyumba ya mfanyabishara aliyetambulika kwa jina moja la Nadia, Msasani jijini Dar.

  • CHANZO CHAVUJISHA UBUYU
    Tukio hilo lilitokea majira ya saa 8 usiku, walinzi wa nyumba za jirani walishindwa kung’amua mara moja dhumuni lake.
  • ALICHOKIFUATA NDANI USIKU ULE CHAJULIKANA
  • Ray C alipoingia ndani ya geti, alimuomba mlinzi amuitie mwenye nyumba (Nadia).
  • Baada ya kutoka nje mwenye nyumba, nini ambacho Ray C alikifanya, na ni nini alichokifanya mwenye nyumba?
  • Je, kuna nini kati ya Ray C na mfanyabiashara huyo?
  • Risasi Mchanganyiko lina A-Z namna ambavyo mkasa huo wa aina yake ulivyomtokea Ray C?
  • Walinzi wa majirani wazikoki silaha zao.
  • Ni nani aliyemuokoa Ray C kwenye mkasa huo?
  • Mwenye Nyumba afunguka mazito.
  • Ray C naye bila kupepesa macho afunguka yaliyomkuta usiku ule kwa mfanyabiashara huyo.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE