Mwanamuziki wa Bongo Fleva toka mkoani Morogoro anayetamba sana kwa sasa na wimbo wake wa Angejua, Dayna Nyange mkali wao, ameizungunzia Video ya wimbo wake wa Angejua wimbo unaofanya vizuri sana kwa sasa, akifanya mahojiano na Bongo Beats ya Star TV, Dayna pia amezungumzia kuhusu Colabo yake na msanii toka mchini Uganda Cindy Sanyu na pia kufanya video zake katika studio za Kwetu Studio
CCM KATA YA MJINI SONGEA YAFANYA USAFI NA KUWATEMBELEA WAASISI KUELEKEA
MIAKA 49 YA CHAMA
-
Diwani wa Kata ya Mjini Mathew Ngalimanayo wa pili kushoto alievalia shati
la kijani akiwa na viongozi wa kata tawi la mjini baada ya kumaliza usafi
katik...
1 hour ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment