Amesema
hajapewa taarifa za Rais Magufuli kuagiza koplo Deogratius Mbango
kupandishwa cheo baada ya kumdhibiti mke wa mmoja wa mawaziri wa
serikali yake kwa kosa la kukiuka sheria za usalama barabarani.
"
Bado hajapandishwa cheo kwa sababu sijapewa taarifa hizo na
nitakapopewa taarifa atalazimika kwenda kwenye mafunzo kwanza, sisi
jeshi la polisi tuna taratibu zetu" alisema IGP Mangu .
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment