June 26, 2016

dk+mbassa
TANZIA: Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Biharamulo Magharibi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amefariki usiku wa kumkia leo.
Dk. Anthony Gervase Mbassa (CHADEMA) amefariki usiku wa kuamkia leo Jumapili Juni 26, 2016.
Endelea kuwa nasi tutakujuza chanzo cha kifo chake na taratibu nyingine.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE