June 18, 2016

Aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA kwa mwamvuli wa UKAWA Edward Lowassa amehutubia mahafali ya CHADEMA Student Organization ‘CHASO’ ambapo amesema hajaridhishwa na matokeo ya uchaguzi mkuu 2015 na kaeleza kwamba TB Joshua alikuja kumshawishi akubali matokeo.


>>>’tukakaa na TB Joshua tukazungumza sitaki kusema mengi niliyosema lakini moja nilimwambia ukikubali yale matokeo rafiki yangu heshima yako itakwisha hapa Tanzania na Duniani nikamueleza mfululizo wa mambo yaliyokuwa yanafanywa alisikitika sana alikuwa amekuja kwa ajili ya kuhudhuria sherehe akasema siendi nitabaki hotelini kwangu


Unaweza kuangalia video hii hapa chini

                    

Chanzo :Millardayo.com

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE