Serikali
ya Afrika Kusini yapitisha sheria itakayowaruhusu madaktari kuweka
tattoo katika maeneo ya sehemu zao za siri kwa watu walio na virusi vya
UKIMWI. Rais Jacob Zuma alitia saini muswada huo na kuonekana kuwa
hatua kubwa katika historia ya mapambano dhidi ya ugonjwa hatari wa
UKIMWI . Kwa mujibu wa muswada huo mtu yeyote atakayepimwa na
kupatikana na virusi vya maradhi hayo atapata nasaha ,dawa pamoja na
alama ya 'HIV +' kwa maandishi katika maeneo hayo kuthibitisha ugonjwa
wake .
Mti mrefu zaidi Afrika wagunduliwa Tanzania
Mti huo uko bonde moja lililo Kusini Mashariki mwa Tanzania.
Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua kile wanaamini kuwa ni mti mrefu zaidi barani Afrika. Mti huo uko bonde moja lililo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania…Read More
SAKATA la Dangote Kaa la Moto
SIKU moja baada ya Kiwanda cha Dangote kilichopo mkoani Mtwara kuripotiwa kwamba kimesitisha uzalishaji, watu mbalimbali wakiwamo, wanasiasa, wachumi na wachambuzi wameibuka na kuishangaa Serikali namna inavyoshu…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment