Mkurugenzi wa Vipindi,ubunifu na uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba, ameweka wazi ushiriki wake ndani ya Clouds media group. Ajibu live maswali ya watazamaji na wadau wao.Amezungumzia bifu la Jide na FA
Watambue wagombea wote wa urais hapa
Kinyang’anyiro cha urais nchini Tanzania kimewavutia jumla ya wagombea wanane, wote waking’ang’ania kumrithi Rais Jakaya Kikwete ikulu. Unawafahamu?
soma maelezo yao kwa ugupi
Anna Mghwira
Alliance for Change and Transparenc…Read More
Matokeo rasmi ya wagombea Urais
Tunakuwekea hapa baadhi ya matokeo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama tulivyoyapata kutoka tume ya Taifa ya Uchaguzi
…Read More
ROMA kuupeleka wimbo wake mpya BASATA
Rapper Roma Mkatoliki amepanga kuachia ngoma yake mpya kesho, amesema anaenda kuwasikilizisha Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) kabisa ili wasije ifungia ikishatoka.
Kwa mujibu wa Post alioiweka amesema iwapo BASATA itampa G…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment