Hii ni kwa wale wapenzi wetu wa Move mbalimbali ulimwenguni. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu tulishindwa kuwawekea Mfululizo wa Move wazipendazo kutokana na marekebisho ya haapa na pale. Sasa leo hii tumewaletea Move hii ya kukumbukwa inaitwa No Retreat, No Surrender. Najua unaikumbuka na ni moja ya move iliyokuvutia sana kipindi kile.

maelezo
lugha: english
Tarehe ya kutolewa: 2 Mei 1986 (USA) Angalia zaidi »
Pia inajulikana kama:
Retroceder Nunca, Jamas rendirseSinema Maeneo: Sherman Oaks, Los Angeles, California, United States
Mkurugenzi: Corey Yuen
0 MAONI YAKO:
Post a Comment