July 03, 2016

 


Naibu balozi wa Sierra leone nchini Nigeria ametekwa nyara.
Maafisa wa Sierra Leone's wanasema Nelson Williams alitekwa nyara akiwa katika jimbo la Kaduna.
Hata hivyo maafisa wa Nigeria wanasema haijbainika wazi mahali ambapo utekaji huo ulifanyika.
Haijulikani ni akina nani waliomteka nyara balozi huyo, japo wametaka kulipwa kikombozi.

Related Posts:

  • HUU NDIYO UJIO MPYA WA CRISS WAMARYA AMALIZA  VIDEO  YAKE  NA  SASA   IPO  MTANDAONI  AMALIZA  TOFAUTI  ZAKE  NA  ALIYEKUWA  MENEJA  WAKE  SALIM CHUMA      … Read More
  • P SQUARE WAPATA PIGO. Mrs. Okoye Mrs. Okoye amekuwa akiumwa kwa mrefu ugonjwa ambao bado haujajulikana. Pamoja na Peter na Paul, watoto wake wengine  Jude na Ajeh  wana mchango mkubwa kwenye muziki wa Nigeria. Pe… Read More
  • MAFANIKIO YA CHAMELEONE KATIKA MAISHA . Baada ya kukutana na staa wa muziki kutoka Uganda Jose Chameleone nimegundua kuna mambo mengi nilikua nayasikia tofauti na kuyasoma ambayo yeye ameyazungumza tofauti kabisa. Nilikua sijui, kumbe Chameleo… Read More
  • AFANDE SELE AMFUNGUKIA 20% Salaam Ndugu zangu wote mashabiki na wadau wa muziki wetu!! Tamko langu kuhusiana na lugha zilizotolewa na Twent Percent kuhusiana na show yetu ya Zanzibar Music Award. "Tulialikwa kwenye ZANZIBAR MUSIC AWARD, na kabl… Read More
  • WEWE MKAZI WA MOROGORO SAS BHAAAS NI USIKU  WA   JUMAA  TANO YA  TAREHE  18  JULY 2012, NDANI  YA  4 STAR  SELENGETI   FIESTA  SUPA  NYOTA KUUDONDOSHA  MZIG O MZIMA  NDANI  … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE