
Mkongwe wa muziki wa Hip Hop toka mkoani Morogoro ambaye pia ni mbunge wa Mikumi Mh:Joseph Haule lipowafanyia mashabiki Surprise kwenye show ya Belle9 iliyofanyika siku ya Iddi Pili mkoani Morogoro
Professor J, aliambatana na mfalme wa Rhymes Afande Sele katika jukwaa hilo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment