
Ilikuwa ni Usiku wa September 09 kuamkia September 10 wakazi wa Tabora ilikuwa zamu yao ya ku enjoy na Tamasha la Tigo Fiesta 2016 lenye kaulimbiu ya #Imooo!!! .
Burudani kabambe iliyodondoshwa kutoka kwa,Nuh Mziwanda, Darassa, Maua Samma, Snura, Blue,Nikki wa Pili ,Chege na wasanii wengine kibao, iliwafanya wakazi wa Tabora kusuuzika kabisa na nafsi zao.Namfua Singada Singidani leo zamu yenu sasa. Naamini mtawafunika wanyamwezi wa Tabora. Jipatie tiketi yako mapema sana


Mamaa Majanga alikiwasha ileile

Hakujali kwamba hapa ni ukweni, alisema hivi nipo kazini. Nuh Mziwanda akifanya balaa lake jukwaani

Kutoka 20 za Town ya Clouds TV anaitwa NicksonGeogre


Maua Sama

Jux


Joh Makini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment