
Assalam Alaykum: Baraza kuu la waislam Tanzania BAKWATA linawatangazia Waislam wote kuwa swala ya Eid itaswaliwa BAKWATA makao makuu Kinondoni Muslim Jijini Dar Es Salaam
Swala hiyo itaambatana na Baraza la Eid huku ikifuatiwa na uzinduzi wa Chuo cha Kiislam cha Daarul - Maarif
Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Kassim Majaliwa
Swala itaswaliwa 7:30 asubuhi Inshaallah
Wabillah Taufiq
Salim A. Abeid
kny: Katibu mkuu
0 MAONI YAKO:
Post a Comment