Diamond platnumz amesema hakuna ugomvi ndani ya familia yao kati ya mama
yake, dada yake na Zari ila mashabiki ndio wanaokuza kwa kuwa wana IQ
ndogo ya kutafsiri kinachopostiwa mtandaoni na watu hao...
Kuhusu kuwa na mahusiano na wasichana wengine amedi kuwa watu wanadi
hivyo kwa kuwa kila wakimuona na msichana mzuri wanafikiri anapiga kwa
kuwa wao wana mazoea ya kupiga kila msichana mzuri..
MIGODI YA BARRICK YASHINDA TUZO 11 ZA OSHA 2026
-
Naibu Katibu Mkuu-Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi,Ajira na Mahusiano, Zuhura
Yunus (kushoto) akimkabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza katika kipengele cha
usamba...
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment