October 29, 2016


Waandaji wa Tamasha la Fiesta wametangaza kuwadondosha wakali wa muziki kutoka Naija na Uganda, Yemi Alade, Tekno Na Jose Chameleone kwenye kilele cha tamsha hilo.

Wakali hao watatumbuiza viwanja vya Leaders, Tarehe 5 Nov pamoja na wasanii wengine wa nyumbani ikiwemo 
Alikiba, Jux, Braka da Prince, Shilole, Belle 9, Young Dee, Ray Vanny, Mr Blu, Man Fongo ,Mau Samma, Darassa, Nandy,J.moe na wengine. 



Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE