October 29, 2016


 Siku ya jana  mwanachama wa ACT na mgombea Ubunge wa Morogoro mjini kupitia ACT Ndg Selemani Msindi (Afande Selle) ametoa maoni yake kuhusiana na chama chake cha ACT na kashfa za NSSF.
________________


Afande Selle anasema;

Nje ya uvyama kila Mtanzania Mzalendo anahitaji majibu ktk hili kwani kulingana na tetesi za muda mrefu kutoka kwa watu tofauti ni kwamba hata uanzishwaji wa chama chetu cha ACT ni matokeo ya matunda ya ufisadi huo mkubwa uliotendeka ndani ya NSSF ikiwa ni malengo maalum ya kuvuruga upinzani imara uliokuwepo wkt wa uchaguz mkuu na si kujenga chama/taasisi imara ya ACT..

Lengo kuu lilikuwa ni kujipendekeza kwa serekali mpya ya chama tawala kama ilivyokua ktk serikali iliyopita ya JK ambayo kupitia serikali ile uswahiba wa kiongoz wa chama chetu na mkurugenzi wa NSSF ulishamiri kupita kawaida huku upigaji wa kutisha ukitamalaki.

Lkn bahati mbaya malengo hayo hayakufanikiwa wkt wa uchaguz kwa ACT kushindwa kwa aibu ktk ngazi zote hali iliyopelekea serekali mpya kuona haina sababu ya kuibeba ACT au viongozi wake kwani haitovuna chochote na ndipo JPM pamoja na kumsifu ZZK kipindi kile aliposalia bungeni peke yake baada ya wapinzani wote kutoka nje ya bunge lkn akamtosa kwa mambo mengine tofaut JK aliyewabeba ZZK na Mr. Dau.

Hapo ndipo hasira za ZZK zikawaka na kuanza kuwa mkosoaji mkubwa wa JPM binafsi na serekali yake... Anafanya hivyo si kwa sababu ya uzalendo wake kwa nchi bali kwa sababu maslahi yake binafsi yameguswa.. 'Kweli itatuweka huru... Wacha party ianze  ...niendele ama nisiendeleeee..


Seleman Mshindi (Afande Sele)

Mwanachama wa ACT WAZALENDO na Mgombea ubunge Morogoro Mjini 2015(ACT).

Related Posts:

  • Hatimaye Ombeni Sefue apangiwa kazi hii   Hatimaye Rais John Magufuli ametimiza ahadi yake kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue baada ya kumteua kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Cha Diplomasia. Balozi Sefue amepata uteuzi huo ja… Read More
  • VIDEO:Inaskitisha Sana; Said Aliyetobolewa Macho Hatoona Tena Maishani Mwake Said Ally akiwa katika hali ya huzuni baada ya kuambiwa haotoona tena.   …akifarijiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Saalam, Paul Makonda.  …Akizungumza na Mhe. Makonda. Mapema leo Mkuu wa mkoa wa Dar es … Read More
  • CUF Hatarini Kufutiwa Usajili Mgogoro unaoiandama CUF huenda ukailetea balaa zaidi, baada ya kuwapo kwa taarifa kuwa huenda ikafutwa kama itazidi kukomalia msimamo ilionao wa kutotaka ushauri. Mgogoro huo umekipasua chama… Read More
  • Kauli ya BMT kuhusu Yanga kukodiwa Baraza la michezo Tanzania BMT leo October 7 2016 limetangaza msimamo wake ikiwa ni siku moja imepita toka klabu ya Dar es Salaam Young Africans iweke wazi mkataba wake wa kukodiwa na kampuni ya Yanga Yetu Limited, Yanga … Read More
  • Kijana aliyemea mkia afanyiwa upasuaji   Kijana mwenye mkia wa sentimita 20 unaomea chini ya uti wa mgongo wake amefanyiwa upasuaji ili uondolewe Ulianza kutokea katika mgongo wa kijana huyo wa miaka 18 baada ya siku yake ya kuzaliwa ya 14. Yeye na … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE