MACHAKU MEDIA: Tunapenda kuchukua fursa hii kukualika katika Annivesary ya kutimiza kwa miaka 3 ya Samaki Spot Morogoro. Siku ya Jumaapili ya 13 November 2016 pale Samaki Spot Kiohonda, Burudani kabambe kutoka kwa Manifongo na Band ya Warugulu Music Band. DJ JD atakuwepo akikugusia zote kali za kitambo na sasa, Kiingilio ni TSH: 7000/
Fika bila kukosa
Fika bila kukosa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment