Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo hii 17 January 2017 amemteua Mh. Jaji Prof. Ibrahim Juma kuwa kaimu jaji mkuu wa Tanzania
Mh. Jaji Prof. Ibrahim anachukua nafasi ya Jaji Mohamed Othman Chande aliyestaafu
MASOGANGE, UKWELI MZIMA KILA KITU WAZI SASA
Agnes Jerald 'Masogange'.
AGNES Jerald, binti anayetumika sana kunengua na pozi katika video za nyimbo za wasanii mbalimbali wa
muziki wa kizazi kipya, amejipatia umaarufu mkubwa sana baada ya
kufanya …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment