
Wakazi wa Isanga Jijini Mbeya wamekumbwa na taharuki baada ya tukio lisilo la kawaida ambapo maiti iliyokwenda kuzikwa katika makaburi ya zamani ya Isanga ilikutwa ikiwa kwenye godoro ndani ya nyumba alimofia.Hatua hiyo ililifanya jeshi hilo la polisi kuwachukua wazazi wa mtoto huyo pamoja na mwili wa marehemu kwa ajili ya uchunguzi ndipo walipofikia uwamuzi wa kufukua kaburi.
Wananchi na jeshi la polisi wakifukua kaburi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment