Baadhi ya watumishi wa kiwanda hicho wakimpokea Mkurugrnzi wa kiwanda cha Sigara cha Philip Morris Tanzania Limited Bi,Dagmara Piasecka[kulia] ambaye ni raia ya Marekani
Mkurugrnzi huyo akiingia ndani ya kiwanda hicho
Bi, Dagmara ambaye ndiye mkurugenzi wa kiwanda hicho akipokea Mwenye wa Uhuru baada ya kuwasili kiwandani hapo
Meneja wa kiwanda hicho naye akipokea Mwenye huo
Mkuu wa jeshi la Polisi Wilaya ya Morogoro mjini OCD Nsanto[kati] akiwa na Vijana wake wakihakikisha mambo yote yanakwenda sawa kwenye mbio hizo za Mwenye
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe Regina Chonjo akizungumza baada ya uwekwa jiwe la msingi la kiwanda hicho
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa mwaka huu Bw Amour Hamad Amour akimuonyesha Sigara zinazozalishwa na kiwanda hicho Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe Regina Chonjo
Meneja wa kiwanda hicho Bw Evans Mlelwa akizungumza na Waanadishi wa habari
Na Dustan Shekidele
Mwenge wa Uhuru jana umezinduka kiwanda kikwa cha kisasa cha kutengezeza Sigara aina ya Marlboro.
Kiwanda hicho kinachojulikana kwa jina la Philip Morris Tanzania Limited kipo Kata ya Kingolwira Manispaa ya Morogoro jirani kabisani na kilipo kiwanda kinginge cha Tumbaku cha Alliance One.
Akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kiwanda hicho kuzinduliwa na Mbio za Mwenge Meneja wa Viwanda vinavyo zalisha Sigara za Marlboro Afrika Bw Evans Mlelwa amsema wameamua kujenga kiwanda hicho ikiwa ni njia moja wapo ya kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano ya inayohamasisha ujenzi wa Viwanda.
“ Mbali na hilo kiwanda hiki kitalipa kodo stahiki za serikali,tutatoa ajiri kwa wananchi sambamba na kusaidi huduma za Jamii” alisema bosi huyo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment