Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli
ameishukuru serikali ya Kuwait kwa kutoa shilingi bilioni 110 kujenga
barabara ya Chaya – Nyahua mkoani Tabora yenye urefu wa Kilometa 85
ambayo itaunganisha mawasiliano ya barabara kati ya mkoa wa Singida na
Tabora.
Rais Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Mhe.
Jasem Ibrahim Al Najem alipofika kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
0 MAONI YAKO:
Post a Comment