June 21, 2017

Image result for :CUF Watangaza Kumaliza Mgogoro Wa LIPUMBA na MAALIM SEIF 
Chama cha Wananchi CUF, kimetangaza rasmi kumaliza mgogoro uliokikumba chama hicho, miezi kadhaa iliyopita. Katika taarifa kwa waandishi wa Habari chama hicho kimethibitisha kumaliza mgogoro huo na kuthibitisha kupatikana kwa bodi mpya ya Wadhamini.


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE